2 Kings 13:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamwamuru, “Hebu lete upinde na mishale!” Yehoashi akavileta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akasema, “Leta upinde na baadhi ya mishale,” naye mfalme akafanya hivyo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Elisha akamwambia, Twaa uta na mishale; naye akatwaa uta na mishale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamwamuru, “Hebu lete upinde na mishale!” Yehoashi akavileta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akasema, “Leta upinde na baadhi ya mishale,” naye mfalme akafanya hivyo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akasema, “Leta upinde na baadhi ya mishale,” naye mfalme akafanya hivyo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Elisha akamwambia, Twaa uta na mishale; naye akatwaa uta na mishale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamwamuru, “Hebu lete upinde na mishale!” Yehoashi akavileta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elisa akamwambia: Chukua upindi na mishale! Basi, akajichukulia upindi na mishale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Elisha akamwambia, Twaa uta na mishale; naye akatwaa uta na mishale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamwamuru: “Ulete upinde na mishale!” Yoasi akavileta.