2 Kings 13:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha akamwambia ajitayarishe kupiga mishale. Mfalme akajitayarisha na Elisha akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akamwambia mfalme wa Israeli, “Shika upinde mikononi mwako.” Alipokwisha kuuchukua, Al-Yasa akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia mfalme wa Israeli, Weka mkono wako katika uta; naye akaweka mkono wake juu yake. Elisha akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha akamwambia ajitayarishe kupiga mishale. Mfalme akajitayarisha na Elisha akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akamwambia mfalme wa Israeli, “Shika upinde mikononi mwako.” Alipokwisha kuichukua, Elisha akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akamwambia mfalme wa Israeli, “Shika upinde mikononi mwako.” Alipokwisha kuichukua, Al-Yasa akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia mfalme wa Israeli, Weka mkono wako katika uta; naye akaweka mkono wake juu yake. Elisha akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha akamwambia ajitayarishe kupiga mishale. Mfalme akajitayarisha na Elisha akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwambia mfalme wa Waisiraeli: Shika upindi mkononi mwako! Alipoushika mkononi mwake, Elisa akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia mfalme wa Israeli, Weka mkono wako katika uta; naye akaweka mkono wake juu yake. Elisha akaweka mikono yake juu ya mikono ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akamwambia ajitayarishe kupiga mishale. Mufalme akajitayarisha na Elisha akaiweka mikono yake juu ya mikono ya mufalme.