2 Kings 13:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elisha alifariki, akazikwa. Kila mwaka, makundi ya Wamoabu yalikuja kuishambulia nchi ya watu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Al-Yasa akafa, nao wakamzika. Vikosi vya Wamoabu vilikuwa vinashambulia nchi kwa vita kila mwaka wakati wa vuli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Elisha akafa, nao wakamzika. Basi vikosi vya Wamoabi wakaingia katika nchi mwanzo wa mwaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elisha alifariki, akazikwa. Kila mwaka, makundi ya Wamoabu yalikuja kuishambulia nchi ya watu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elisha akafa, nao wakamzika. Vikosi vya Wamoabu vilikuwa vinashambulia nchi kwa vita kila mwaka wakati wa vuli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Al-Yasa akafa, nao wakamzika. Vikosi vya Wamoabu vilikuwa vinashambulia nchi kwa vita kila mwaka wakati wa vuli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Elisha akafa, nao wakamzika. Basi vikosi vya Wamoabi wakaingia katika nchi mwanzo wa mwaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elisha alifariki, akazikwa. Kila mwaka, makundi ya Wamoabu yalikuja kuishambulia nchi ya watu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elisa alipokwisha kufa, wakamzika. Hapo vikosi vya Wamoabu wakaingia katika nchi hii, nao wakaja kila mwaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Elisha akafa, nao wakamzika. Basi vikosi vya Wamoabi wakaingia katika nchi mwanzo wa mwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elisha akakufa, naye akazikwa. Kila mwaka, makundi ya Wamoabu yalikuja kuishambulia inchi ya watu wa Israeli.