2 Kings 13:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Hazaeli wa Aramu aliwanyanyasa sana watu wa Israeli wakati wote wa enzi ya Yehoahazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hazaeli mfalme wa Aramu aliwatesa Israeli wakati wote wa utawala wa Yehoahazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Hazaeli mfalme wa Shamu akawaonea Israeli siku zote za Yehoahazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Hazaeli wa Aramu aliwanyanyasa sana watu wa Israeli wakati wote wa enzi ya Yehoahazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hazaeli mfalme wa Aramu aliwatesa Israeli wakati wote wa utawala wa Yehoahazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hazaeli mfalme wa Aramu aliwatesa Israeli wakati wote wa utawala wa Yehoahazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Hazaeli mfalme wa Shamu akawaonea Israeli siku zote za Yehoahazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Hazaeli wa Aramu aliwanyanyasa sana watu wa Israeli wakati wote wa enzi ya Yehoahazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hazaeli, mfalme wa Washami, alikuwa akiwasonga Waisiraeli siku zote za Yoahazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Hazaeli mfalme wa Shamu akawaonea Israeli siku zote za Yehoahazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Hazaeli wa Aramu akawatesa sana watu wa Israeli wakati wote wa utawala wa Yoahazi.