2 Kings 13:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hazaeli mfalme wa Aramu alipofariki, Ben-hadadi mwanawe alitawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hazaeli mfalme wa Shamu akafa, naye Ben-Hadadi mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Hazaeli mfalme wa Shamu, na Ben-hadadi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hazaeli mfalme wa Aramu alipofariki, Ben-hadadi mwanawe alitawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hazaeli mfalme wa Shamu akafa, naye Ben-Hadadi mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hazaeli mfalme wa Shamu akafa, naye Ben-Hadadi mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Hazaeli mfalme wa Shamu, na Ben-hadadi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hazaeli mfalme wa Aramu alipofariki, Ben-hadadi mwanawe alitawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hazaeli, mfalme wa Washami, alipokufa, mwanawe Benihadadi akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Hazaeli mfalme wa Shamu, na Ben-hadadi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hazaeli mufalme wa Aramu alipokufa, Beni-Hadadi mwana wake akatawala kwa pahali pake.