2 Kings 13:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yehoahazi alifariki na kuzikwa huko Samaria, naye mwanawe Yehoashi akawa mfalme mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yehoahazi akalala na baba zake, akazikwa huko Samaria. Naye Yehoashi mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yehoahazi akalala na babaze; wakamzika katika Samaria. Na Yehoashi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yehoahazi alifariki na kuzikwa huko Samaria, naye mwanawe Yehoashi akawa mfalme mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yehoahazi akalala pamoja na baba zake na akazikwa huko Samaria. Naye Yehoashi mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yehoahazi akalala pamoja na baba zake, akazikwa huko Samaria. Naye Yehoashi mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yehoahazi akalala na babaze; wakamzika katika Samaria. Na Yehoashi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yehoahazi alifariki na kuzikwa huko Samaria, naye mwanawe Yehoashi akawa mfalme mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yoahazi alipokwenda kulala na baba zake, wakamzika Samaria, naye mwanawe Yoasi akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yehoahazi akalala na babaze; wakamzika katika Samaria. Na Yehoashi mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoahazi akakufa na kuzikwa kule Samaria, naye mwana wake Yoasi akakuwa mufalme kwa pahali pake.