2 Kings 14:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njama za kumwua Amazia zilifanywa Yerusalemu, kwa hiyo alikimbilia Lakishi, lakini maadui walituma watu wa kumwua huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakapanga njama dhidi ya Amazia huko Yerusalemu, naye akakimbilia Lakishi, lakini wakawatuma watu wamfuatilie huko Lakishi, nao wakamuua huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafanya fitina juu yake katika Yerusalemu, naye akakimbia mpaka Lakishi, lakini wakatuma watu kumfuata mpaka Lakishi, wakamwua huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njama za kumwua Amazia zilifanywa Yerusalemu, kwa hiyo alikimbilia Lakishi, lakini maadui walituma watu wa kumwua huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafanya shauri baya dhidi ya Amazia huko Yerusalemu, naye akakimbilia Lakishi, lakini wakawatuma watu wamfuatilie huko Lakishi nao wakamwua huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafanya shauri baya dhidi ya Amazia huko Yerusalemu, naye akakimbilia Lakishi, lakini wakawatuma watu wamfuatilie huko Lakishi, nao wakamuulia huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafanya fitina juu yake katika Yerusalemu, naye akakimbia mpaka Lakishi, lakini wakatuma watu kumfuata mpaka Lakishi, wakamwua huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njama za kumwua Amazia zilifanywa Yerusalemu, kwa hiyo alikimbilia Lakishi, lakini maadui walituma watu wa kumwua huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipomlia njama mle Yerusalemu, akakimbilia Lakisi; ndipo, walipotuma watu kumfuata huko Lakisi, wakamwua huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafanya fitina juu yake katika Yerusalemu, naye akakimbia mpaka Lakishi, lakini wakatuma watu kumfuata mpaka Lakishi, wakamwua huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mupango wa kumwua Amazia ulifanyika Yerusalema. Kwa hiyo akakimbilia Lakisi, lakini waadui walituma watu wa kumwua kule.