2 Kings 14:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria akiwa na umri wa miaka kumi na sita, wakamtawaza mahali pa Amazia baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita, na kumfanya mfalme mahali pa Amazia baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watu wote wa Yuda wakamtwaa Uzia
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria akiwa na umri wa miaka kumi na sita, wakamtawaza mahali pa Amazia baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita na kumfanya mfalme mahali pa baba yake Amazia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria aliyekuwa na umri wa miaka kumi na sita, na kumfanya mfalme mahali pa baba yake Amazia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watu wote wa Yuda wakamtwaa Uzia, aliyekuwa mwenye umri wa miaka kumi na sita, wakamfanya awe mfalme mahali pa baba yake Amazia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria akiwa na umri wa miaka kumi na sita, wakamtawaza mahali pa Amazia baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watu wote wa Yuda wakamchukua Azaria aliyekuwa mwenye miaka 16, wakamfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake Amasia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watu wote wa Yuda wakamtwaa Uzia, aliyekuwa mwenye umri wa miaka kumi na sita, wakamfanya awe mfalme mahali pa baba yake Amazia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha watu wote wa Yuda wakamukamata Azaria akiwa na umri wa miaka kumi na sita, wakamufanya kuwa mufalme kwa pahali pa Amazia baba yake.