2 Kings 14:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu aliona taabu kubwa kwa waliyopata Waisraeli kwani hapakuwa na mtu yeyote wa kuwasaidia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alikuwa ameona jinsi kila mmoja katika Israeli, awe mtumwa au aliye huru, alivyoteseka kwa uchungu; hapakuwa na yeyote wa kuwasaidia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwani Bwana akayaona mateso ya Israeli, kwamba yalikuwa machungu sana; maana hakukuwa na mfungwa wala asiyefungwa, wala msaidizi kwa ajili ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu aliona taabu kubwa kwa waliyopata Waisraeli kwani hapakuwa na mtu yeyote wa kuwasaidia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alikuwa ameona jinsi kila mmoja katika Israeli, awe mtumwa au aliye huru alivyoteseka kwa uchungu; hapakuwepo na ye yote wa kuwasaidia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alikuwa ameona jinsi kila mmoja katika Israeli, awe mtumwa au aliye huru, alivyoteseka kwa uchungu; hapakuwepo na yeyote wa kuwasaidia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwani BWANA akayaona mateso ya Israeli, kwamba yalikuwa machungu sana; maana hakukuwa na mfungwa wala asiyefungwa, wala msaidizi kwa ajili ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu aliona taabu kubwa kwa waliyopata Waisraeli kwani hapakuwa na mtu yeyote wa kuwasaidia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana aliyaona mateso ya Waisiraeli yaliyokuwa yenye machungu sana, akaona, ya kuwa waliofungwa nao waliofunguliwa wanamalizika, kwa kuwa hakuwako aliyewasaidia Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwani BWANA akayaona mateso ya Israeli, kwamba yalikuwa machungu sana; maana hakukuwa na mfungwa wala asiyefungwa, wala msaidizi kwa ajili ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kwa sababu Yawe aliona taabu kubwa Waisraeli waliyopata maana hakukuwa mutu yeyote wa kuwasaidia.