2 Kings 14:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwa kama babu yake Daudi. Bali alifanya mambo yote kama Yoashi baba yake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, lakini sio kama Daudi baba yake alivyokuwa amefanya. Katika kila kitu alifuata mfano wa Yoashi baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana, ila si kama babaye Daudi; akafanya kama yote aliyoyafanya baba yake Yoashi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwa kama babu yake Daudi. Bali alifanya mambo yote kama Yoashi baba yake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatenda yaliyo mema machoni pa BWANA, lakini sio kama Daudi baba yake alivyokuwa amefanya. Katika kila kitu alifuata mfano wa Yoashi baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatenda yaliyo mema machoni pa bwana, lakini sio kama Daudi baba yake alivyokuwa amefanya. Katika kila kitu alifuata mfano wa Yoashi baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, ila si kama babaye Daudi; akafanya kama yote aliyoyafanya baba yake Yoashi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini hakuwa kama babu yake Daudi. Bali alifanya mambo yote kama Yoashi baba yake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana, lakini hakuwa kama baba yake Dawidi; naye akayafanya yote, baba yake Yoasi aliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, ila si kama babaye Daudi; akafanya kama yote aliyoyafanya baba yake Yoashi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda kwa usawa mbele ya Yawe, lakini hakukuwa kama babu yake Daudi. Akafanya mambo yote kama vile baba yake Yoasi.