2 Kings 15:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi tukio hilo lilitokana na ahadi ya Mwenyezi-Mungu kwa mfalme Yehu, kusema, “Wazawa wako watatawala Israeli mpaka kizazi cha nne.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo neno la Mwenyezi Mungu lililonenwa kwa Yehu likatimia, kwamba, “Wazao wako wataketi kwenye kiti cha utawala cha Israeli hadi kizazi cha nne.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hilo ndilo neno la Bwana alilomwambia Yehu, akisema, Wana wako watakaa kitini mwa Israeli hata kizazi cha nne. Ikawa vivyo hivyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi tukio hilo lilitokana na ahadi ya Mwenyezi-Mungu kwa mfalme Yehu, kusema, “Wazawa wako watatawala Israeli mpaka kizazi cha nne.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo neno la BWANA lililonenwa kwa Yehu likatimia kwamba, “Uzao wako utaketi juu ya kiti cha enzi cha Israeli mpaka kizazi cha nne.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo neno la bwana lililonenwa kwa Yehu likatimia, kwamba, “Wazao wako wataketi juu ya kiti cha enzi cha Israeli hadi kizazi cha nne.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hilo ndilo neno la BWANA alilomwambia Yehu, akisema, Wana wako watakaa kitini mwa Israeli hata kizazi cha nne. Ikawa vivyo hivyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi tukio hilo lilitokana na ahadi ya Mwenyezi-Mungu kwa mfalme Yehu, kusema, “Wazawa wako watatawala Israeli mpaka kizazi cha nne.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo limetimia lile neno la Bwana, alilomwambia Yehu kwamba: Wanao wa vizazi vinne watakaa katika kiti cha kifalme cha Waisiraeli. Ikawa hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hilo ndilo neno la BWANA alilomwambia Yehu, akisema, Wana wako watakaa kitini mwa Israeli hata kizazi cha nne. Ikawa vivyo hivyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi tukio hilo lilitokana na ahadi ya Yawe kwa mufalme Yehu, kusema: “Wazao wako watatawala Israeli mpaka kizazi cha ine.”