2 Kings 15:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Menahemu alipokuwa njiani kutoka Tirza, aliuharibu kabisa mji wa Tapua na kuangamiza wakazi wake pamoja na nchi yote iliyozunguka kwa sababu hawakujisalimisha kwake. Isitoshe, aliwatumbua wanawake waja wazito wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule, akianzia Tirsa, Menahemu alishambulia Tifsa na kila mtu ndani yake, na wale waliokuwa maeneo jirani, kwa sababu walikataa kufungua malango yao. Akaiangamiza Tifsa yote, na kuwapasua tumbo wanawake wote wenye mimba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Menahemu akapiga Tifsa, na wote waliokuwamo, na mipaka yake, toka Tirza; kwa sababu hawakumfungulia, kwa hiyo akaupiga; nao wanawake wote waliokuwamo wenye mimba akawapasua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Menahemu alipokuwa njiani kutoka Tirza, aliuharibu kabisa mji wa Tapua na kuangamiza wakazi wake pamoja na nchi yote iliyozunguka kwa sababu hawakujisalimisha kwake. Isitoshe, aliwatumbua wanawake waja wazito wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule, akianzia Tirza, Menahemu akashambulia Tifsa na kila mtu ndani yake na wale waliokuwa jirani kwa sababu walikataa kufungua malango yao. Akaiangamiza Tifsa yote na kuwapasua matumbo wanawake wote wenye mimba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule, akianzia Tirsa, Menahemu alishambulia Tifsa na kila mtu ndani yake, na wale waliokuwa maeneo jirani, kwa sababu walikataa kufungua malango yao. Akaiangamiza Tifsa yote, na kuwapasua matumbo wanawake wote wenye mimba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Menahemu akapiga Tifsa, na wote waliokuwamo, na mipaka yake, toka Tirza; kwa sababu hawakumfungulia, kwa hiyo akaupiga; nao wanawake wote waliokuwamo wenye mimba akawapasua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Menahemu alipokuwa njiani kutoka Tirza, aliuharibu kabisa mji wa Tapua na kuangamiza wakazi wake pamoja na nchi yote iliyozunguka kwa sababu hawakujisalimisha kwake. Isitoshe, aliwatumbua wanawake waja wazito wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile Menahemu akaupiga mji wa Tifusa nao wote waliokuwamo na mipakani kwake toka Tirsa; kwa kuwa hawakumfungulia lango la mji, akawaua, nao wanawake waliokuwa wenye mimba akawatumbua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Menahemu akapiga Tifsa, na wote waliokuwamo, na mipaka yake, toka Tirza; kwa sababu hawakumfungulia, kwa hiyo akaupiga; nao wanawake wote waliokuwamo wenye mimba akawapasua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Menahemu alipokuwa katika njia kutoka Tirza, aliuharibu kabisa muji wa Tapua na kuangamiza wakaaji wake pamoja na inchi yote iliyouzunguka kwa sababu hawakujitoa kwake. Vilevile akapasua tumbo za wanawake wenye mimba.