2 Kings 15:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Menahemu alifariki, naye mwanawe Pekahia alitawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Menahemu akalala na baba zake. Naye Pekahia mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Menahemu akalala na babaze; na Pekahia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Menahemu alifariki, naye mwanawe Pekahia alitawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Menahemu akalala pamoja na baba zake. Naye Pekahia mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Menahemu akalala pamoja na baba zake. Naye Pekahia mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Menahemu akalala na babaze; na Pekahia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Menahemu alifariki, naye mwanawe Pekahia alitawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Menahemu alipokwenda kulala na baba zake, mwanawe Pekaya akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Menahemu akalala na babaze; na Pekahia mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Menahemu akakufa, naye mwana wake Pekahia akatawala kwa pahali pake.