2 Kings 15:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimwasi Mwenyezi-Mungu kwa kufuata mfano mbaya wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, aliyewafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alisababisha Israeli kuzitenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana; hakuyaacha makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimwasi Mwenyezi-Mungu kwa kufuata mfano mbaya wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, aliyewafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya maovu machoni pa BWANA. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alisababisha Israeli kuzitenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya maovu machoni pa bwana. Hakuziacha dhambi za Yeroboamu mwana wa Nebati, ambazo alisababisha Israeli kuzitenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA; hakuyaacha makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimwasi Mwenyezi-Mungu kwa kufuata mfano mbaya wa mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati, aliyewafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, hakuyaepuka makosa ya Yeroboamu, mwana wa Nebati, aliyewakosesha Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA; hakuyaacha makosa ya Yeroboamu mwana wa Nebati, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda maovu mbele ya Yawe; hakuacha zambi za Yeroboamu mwana wa Nebati ambaye aliwasukuma watu wa Israeli watende zambi.