2 Kings 15:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha, binti Sadoki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha, binti Sadoki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa na miaka ishirini na mitano wakati alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Jina la mama yake aliitwa Yerusha binti Zadoki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa na miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusha, binti Sadoki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikuwa mwenye miaka 25 alipoupata ufalme, akawa mfalme mle Yerusalemu miaka 16. Jina la mama yake ni Yerusa, binti Sadoki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita katika Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Yerusha binti Sadoki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mitano alipoanza kutawala, akatawala akiwa kule Yerusalema kwa muda wa miaka kumi na sita. Mama yake aliitwa Yerusa, binti ya Zadoki.