2 Kings 15:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile Uzia baba yake, Yothamu alitenda mambo yaliyompendeza Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, kama Uzia baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana; akafanya kama yote aliyoyafanya Uzia baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile Uzia baba yake, Yothamu alitenda mambo yaliyompendeza Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, kama Uzia baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya yaliyo mema machoni pa bwana, kama Uzia baba yake alivyokuwa amefanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA; akafanya kama yote aliyoyafanya Uzia baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile Uzia baba yake, Yothamu alitenda mambo yaliyompendeza Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana kama yote, baba yake Uzia aliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA; akafanya kama yote aliyoyafanya Uzia baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yotamu alitenda kwa usawa mbele ya Yawe kama vile baba yake Uzia alivyotenda.