2 Kings 16:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahazi aliporejea kutoka Damasko, aliiona hiyo madhabahu; basi akaikaribia madhabahu na kutoa sadaka juu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme aliporudi kutoka Dameski na kuona hayo madhabahu, akayasogelea na kutoa sadaka juu yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mfalme aliporudi kutoka Dameski, mfalme akaiona ile madhabahu; mfalme akakaribia madhabahuni, na kutoa sadaka juu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahazi aliporejea kutoka Damasko, aliiona hiyo madhabahu; basi akaikaribia madhabahu na kutoa sadaka juu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme aliporudi kutoka Dameski na kuiona hiyo madhabahu, aliisogelea na kutoa sadaka juu yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme aliporudi kutoka Dameski na kuona hayo madhabahu, akayasogelea na kutoa sadaka juu yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mfalme aliporudi kutoka Dameski, mfalme akaiona ile madhabahu; mfalme akakaribia madhabahuni, na kutoa sadaka juu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahazi aliporejea kutoka Damasko, aliiona hiyo madhabahu; basi akaikaribia madhabahu na kutoa sadaka juu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfalme aliporudi toka Damasko, mfalme akaiona hiyo meza ya kutambikia; ndipo, mfalme alipoikaribia hiyo meza ya kutambikia, akateketeza juu yake ng'ombe ya tambiko
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mfalme aliporudi kutoka Dameski, mfalme akaiona ile madhabahu; mfalme akakaribia madhabahuni, na kutoa sadaka juu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahazi aliporudi kutoka Damasiki, aliiona mazabahu ile; basi akaikaribia mazabahu na kutoa sadaka juu yake.