2 Kings 16:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitoa sadaka yake ya kuteketezwa, ya nafaka, na ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka ya amani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatoa sadaka yake ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, akamimina sadaka ya kinywaji na kunyunyizia damu ya sadaka zake za amani juu ya hayo madhabahu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaiteketeza sadaka yake ya kuteketezwa, na sadaka yake ya unga, akamimina sadaka yake ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka zake za amani, juu ya madhabahu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitoa sadaka yake ya kuteketezwa, ya nafaka, na ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka ya amani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatoa sadaka yake ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, akamimina sadaka ya kinywaji na kunyunyizia damu ya sadaka zake za amani juu ya hiyo madhabahu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatoa sadaka yake ya kuteketezwa na sadaka ya nafaka, akamimina sadaka ya kinywaji na kunyunyizia damu ya sadaka zake za amani juu ya hayo madhabahu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaiteketeza sadaka yake ya kuteketezwa, na sadaka yake ya unga, akamimina sadaka yake ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka zake za amani, juu ya madhabahu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitoa sadaka yake ya kuteketezwa, ya nafaka, na ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka ya amani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
pamoja na kuivukizia na kutoa vilaji vya tambiko, akaimwagia vinywaji vya tambiko nazo damu za ng'ombe za tambiko za shukrani, alizozitoa kuzinyunyizia ile meza ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaiteketeza sadaka yake ya kuteketezwa, na sadaka yake ya unga, akamimina sadaka yake ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka zake za amani, juu ya madhabahu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitolea sadaka yake ya kuteketezwa, ya ngano, na ya kinywaji, akanyunyiza damu ya sadaka ya amani.