2 Kings 16:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nalo jukwaa lililotumika siku ya Sabato lililokuwa limejengwa ndani ya nyumba pamoja na kivutio cha nje, mfalme alivihamisha kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya mfalme wa Ashuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa heshima ya mfalme wa Ashuru, akaliondoa pia pazia la Sabato lililokuwa limewekwa ndani ya Hekalu, na akaondoa ile njia ya kifalme ya kuingia kwenye Hekalu la Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ukumbi wa sabato walioujenga katika hiyo nyumba, na mahali pa kuingia pake mfalme palipokuwapo nje, akavigeuza kuikabili nyumba ya Bwana, kwa sababu ya mfalme wa Ashuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nalo jukwaa lililotumika siku ya Sabato lililokuwa limejengwa ndani ya nyumba pamoja na kivutio cha nje, mfalme alivihamisha kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya mfalme wa Ashuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya mfalme wa Ashuru akaliondoa pia pazia la Sabato lililokuwa limewekwa ndani ya Hekalu na akafuata ile njia ya kifalme ya kuingia kwenye Hekalu la BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa heshima ya mfalme wa Ashuru, akaliondoa pia pazia la Sabato lililokuwa limewekwa ndani ya Hekalu, na akaondoa ile njia ya kifalme ya kuingia kwenye Hekalu la bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ukumbi wa sabato walioujenga katika hiyo nyumba, na mahali pa kuingia pake mfalme palipokuwapo nje, akavigeuza kuikabili nyumba ya BWANA, kwa sababu ya mfalme wa Ashuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nalo jukwaa lililotumika siku ya Sabato lililokuwa limejengwa ndani ya nyumba pamoja na kivutio cha nje, mfalme alivihamisha kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa ajili ya mfalme wa Ashuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao ukumbi wa siku ya mapumziko, walioujenga penye Nyumba hiyo, nao mlango wa nje wa kuingilia mfalme akauondoa na kuuweka pengine penye Nyumba hiyo kwa ajili ya mfalme wa Asuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ukumbi wa sabato walioujenga katika hiyo nyumba, na mahali pa kuingia pake mfalme palipokuwapo nje, akavigeuza kuikabili nyumba ya BWANA, kwa sababu ya mfalme wa Ashuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nalo baraza la Sabato lililokuwa limejengwa ndani ya nyumba pamoja na mulango wa inje, mufalme alivihamisha kutoka katika nyumba ya Yawe kwa ajili ya mufalme wa Aramu.