2 Kings 16:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Hakufanya mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Daudi babu yake alivyofanya,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na sita. Tofauti na Daudi baba yake, hakufanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, Mungu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita katika Yerusalemu; wala hakufanya mema machoni pa Bwana Mungu wake, kama Daudi babaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Hakufanya mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Daudi babu yake alivyofanya,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahazi alikuwa na miaka ishirini alipoanza kutawala kama mfalme, naye akatawala katika Yerusalemu kwa miaka kumi na sita. Tofauti na Daudi baba yake, hakufanya yaliyo sawa mbele ya macho ya BWANA, Mungu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahazi alikuwa na miaka ishirini alipoanza kutawala, akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na sita. Tofauti na Daudi baba yake, hakufanya yaliyo mema machoni pa Bwana, Mungu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita katika Yerusalemu; wala hakufanya mema machoni pa BWANA Mungu wake, kama Daudi babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na sita huko Yerusalemu. Hakufanya mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Daudi babu yake alivyofanya,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahazi alikuwa mwenye miaka 20 alipoupata ufalme, akawa mfalme mle Yerusalemu miaka 16. Hakuyafanya yanyokayo machoni pake Bwana kama baba yake Dawidi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini alipoanza kutawala; akatawala miaka kumi na sita katika Yerusalemu; wala hakufanya mema machoni pa BWANA Mungu wake, kama Daudi babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa na umri wa miaka makumi mbili alipoanza kutawala. Akatawala kwa muda wa miaka kumi na sita akiwa kule Yerusalema. Hakutenda kwa usawa mbele ya Yawe kama vile Daudi babu yake alivyofanya,