2 Kings 16:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahazi alitoa sadaka na kufukiza ubani mahali pa juu, vilimani na chini ya kila mti mbichi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia, juu ya vilima, na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akatoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti mbichi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahazi alitoa sadaka na kufukiza ubani mahali pa juu, vilimani na chini ya kila mti mbichi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatoa kafara na kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia miungu, juu ya vilele vya vilima, na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatoa kafara na kufukiza uvumba katika mahali pa juu pa kuabudia miungu, juu ya vilima, na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akatoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti mbichi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahazi alitoa sadaka na kufukiza ubani mahali pa juu, vilimani na chini ya kila mti mbichi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akatambika na kuvukiza vilimani pa kutambikia napo pengine palipoinukia juu, hata chini yake kila mti uliokuwa wenye majani mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akatoa sadaka na kufukiza uvumba katika mahali pa juu, na juu ya vilima, na chini ya kila mti mbichi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahazi alitambikia sadaka na kufukiza ubani kwenye nafasi yenye kuinuka, juu ya vilima na chini ya kila muti wenye majani mengi.