2 Kings 16:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wakati huo, mfalme wa Edomu aliuteka akawarudishia Waedomu mji wa Elathi na kuwafukuza watu wa Yuda waliokaa humo. Nao Waedomu wakaingia Elathi na kufanya makao yao huko mpaka sasa.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule, Resini mfalme wa Aramu akaurudisha mji wa Elathi kwa Aramu kwa kuwafukuza watu wa Yuda. Kisha Waedomu wakahamia Elathi, nao wanaishi huko hadi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo Resini mfalme wa Shamu akawarudishia Washami Elathi, akawafukuza Wayahudi kutoka Elathi; nao Washami wakaja Elathi, wakakaa humo hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Wakati huo, mfalme wa Edomu aliuteka akawarudishia Waedomu mji wa Elathi na kuwafukuza watu wa Yuda waliokaa humo. Nao Waedomu wakaingia Elathi na kufanya makao yao huko mpaka sasa.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule, Resini mfalme wa Aramu akaurudisha Elathi kwa Aramu kwa kuwafukuza watu wa Yuda. Kisha Waedomu wakahamia Elathi nao wanaishi huko mpaka leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule, Resini mfalme wa Aramu akaurudisha Elathi kwa Aramu kwa kuwafukuza watu wa Yuda. Kisha Waedomu wakahamia Elathi, nao wanaishi huko mpaka leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo Resini mfalme wa Shamu akawarudishia Washami Elathi, akawafukuza Wayahudi kutoka Elathi; nao Washami wakaja Elathi, wakakaa humo hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Wakati huo, mfalme wa Edomu aliuteka akawarudishia Waedomu mji wa Elathi na kuwafukuza watu wa Yuda waliokaa humo. Nao Waedomu wakaingia Elathi na kufanya makao yao huko mpaka sasa.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakati huo Resini, mfalme wa Ushami, akaurudisha mji wa Elati kwa Washami, nao Wayuda akawafukuza mle Elati; ndipo, washami wlipokuja kukaa Elati, wakakaa humo mpaka siku hii ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo Resini mfalme wa Shamu akawarudishia Washami Elathi, akawafukuza Wayahudi kutoka Elathi; nao Washami wakaja Elathi, wakakaa humo hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, mufalme wa Edomu aliuteka akawarudishia Waedomu muji wa Elati na kuwafukuza watu wa Yuda waliokaa mule. Nao Waedomu wakaingia Elati na kufanya makao yao kule mpaka sasa.