2 Kings 17:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Juu ya kila kilima na chini ya kila mti wenye majani mabichi, walijenga nguzo za mawe na sanamu za mungu wa kike Ashera,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaweka mawe ya kuabudiwa na nguzo za Ashera juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakajisimamishia nguzo na maashera juu ya kila mlima mrefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Juu ya kila kilima na chini ya kila mti wenye majani mabichi, walijenga nguzo za mawe na sanamu za mungu wa kike Ashera,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaweka mawe ya kuabudiwa na nguzo za Ashera juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaweka mawe ya kuabudiwa na nguzo za Ashera juu ya kila kilima kirefu na chini ya kila mti uliotanda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakajisimamishia nguzo na maashera juu ya kila mlima mrefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Juu ya kila kilima na chini ya kila mti wenye majani mabichi, walijenga nguzo za mawe na sanamu za mungu wa kike Ashera,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakajisimamishia nguzo za kutambikia na miti ya Ashera katika vilima virefu vyote na chini ya kila mti wenye majani mengi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakajisimamishia nguzo na maashera juu ya kila mlima mrefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Juu ya kila kilima na chini ya kila muti wenye majani mabichi, walijenga nguzo za mawe na sanamu za miungu wa kike Ashera,