2 Kings 17:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na wakafukiza ubani kwenye madhabahu zote za miungu ya uongo kufuatia desturi za mataifa ambayo yalifukuzwa na Mwenyezi-Mungu. Walimkasirisha Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao maovu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakafukiza uvumba kila mahali pa juu pa kuabudia, kama yalivyofanya yale mataifa ambayo Mwenyezi Mungu alikuwa ameyafukuza mbele yao. Wakafanya mambo maovu ambayo yalimghadhibisha Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakafukiza uvumba huko katika kila mahali pa juu, kama mataifa walivyofanya, ambao Bwana aliwafukuza mbele yao; wakaunda mambo mabaya, ili wamkasirishe Bwana;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na wakafukiza ubani kwenye madhabahu zote za miungu ya uongo kufuatia desturi za mataifa ambayo yalifukuzwa na Mwenyezi-Mungu. Walimkasirisha Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao maovu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafukiza uvumba kila mahali palipoinuka, kama walivyofanya yale mataifa ambayo BWANA alikuwa ameyafukuza mbele yao. Wakafanya mambo maovu ambayo yalimghadhibisha BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakafukiza uvumba kila mahali palipoinuka, kama yalivyofanya yale mataifa ambayo bwana alikuwa ameyafukuza mbele yao. Wakafanya mambo maovu ambayo yalimghadhibisha bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakafukiza uvumba huko katika kila mahali pa juu, kama mataifa walivyofanya, ambao BWANA aliwafukuza mbele yao; wakaunda mambo mabaya, ili wamkasirishe BWANA;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na wakafukiza ubani kwenye madhabahu zote za miungu ya uongo kufuatia desturi za mataifa ambayo yalifukuzwa na Mwenyezi-Mungu. Walimkasirisha Mwenyezi-Mungu kwa matendo yao maovu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakavukiza vilimani po pote pa kutambikia kama wamizimu, Bwana aliowaondoa mbele yao. Kweli walifanya mambo mabaya ya kumkasirisha Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakafukiza uvumba huko katika kila mahali pa juu, kama mataifa walivyofanya, ambao BWANA aliwafukuza mbele yao; wakaunda mambo mabaya, ili wamkasirishe BWANA;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na wakafukiza ubani kwenye mazabahu yote ya miungu ya uongo kwa kufuata desturi za mataifa ambayo yalifukuzwa na Yawe. Walimukasirikisha Yawe na matendo yao maovu,