2 Kings 17:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na walitumikia sanamu ambazo Mwenyezi-Mungu alikuwa amewakataza, akisema, “Msifanye hivyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakatumikia sanamu, ingawa Mwenyezi Mungu alikuwa amesema, “Msifanye mambo haya.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakatumikia sanamu, ambazo Bwana aliwakataza, akasema, Msitende jambo hili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na walitumikia sanamu ambazo Mwenyezi-Mungu alikuwa amewakataza, akisema, “Msifanye hivyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaabudu sanamu, ingawa BWANA alikuwa amesema, “Msifanye mambo haya.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaabudu sanamu, ingawa bwana alikuwa amesema, “Msifanye mambo haya.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakatumikia sanamu, ambazo BWANA aliwakataza, akasema, Msitende jambo hili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na walitumikia sanamu ambazo Mwenyezi-Mungu alikuwa amewakataza, akisema, “Msifanye hivyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakiitumikia migogo ya kutambikia, naye Bwana alikuwa amewakataza kwamba: Msilifanye jambo hilo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakatumikia sanamu, ambazo BWANA aliwakataza, akasema, Msitende jambo hili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na walitumikia sanamu ambazo Yawe alikuwa amewakataza, akisema: “Musifanye hivyo.”