2 Kings 17:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wao hawakutii; walikuwa wagumu kama babu zao ambao hawakumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hawakusikiliza, walikuwa na shingo ngumu kama baba zao, ambao hawakumwamini Mwenyezi Mungu, Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini hawakutaka kusikia, bali walifanya shingo zao kuwa ngumu, kama shingo za baba zao, wasiomwamini Bwana, Mungu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wao hawakutii; walikuwa wagumu kama babu zao ambao hawakumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini hawakusikiliza, walikuwa na shingo ngumu kama baba zao, ambao hawakumtegemea BWANA Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini hawakusikiliza, walikuwa na shingo ngumu kama baba zao, ambao hawakumtegemea bwana Mwenyezi Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini hawakutaka kusikia, bali walifanya shingo zao kuwa ngumu, kama shingo za baba zao, wasiomwamini BWANA, Mungu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wao hawakutii; walikuwa wagumu kama babu zao ambao hawakumwamini Mwenyezi-Mungu, Mungu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawakusikia, ila walizishupaza kosi zao kuwa kama kosi za baba zao wasiomtegemea Bwana Mungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini hawakutaka kusikia, bali walifanya shingo zao kuwa ngumu, kama shingo za baba zao, wasiomwamini BWANA, Mungu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wao hawakutii; walikuwa wagumu kama babu zao ambao hawakumwamini Yawe, Mungu wao.