2 Kings 17:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini hata watu wa Yuda hawakutii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; bali walifuata desturi zilizoletwa na watu wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, Yuda nao hawakuzishika amri za Mwenyezi Mungu, Mungu wao. Wakafuata desturi ambazo Israeli walikuwa wamezianzisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata na watu wa Yuda hawakuyashika maagizo ya Bwana, Mungu wao, lakini walikwenda katika amri za Israeli walizokuwa wamezifanya wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini hata watu wa Yuda hawakutii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; bali walifuata desturi zilizoletwa na watu wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hata hivyo nao hawakuzishika amri za BWANA Mungu wao. Wakafuata desturi ambazo Israeli alikuwa amezileta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na hata hivyo nao Yuda hawakuzishika amri za bwana Mwenyezi Mungu wao. Wakafuata desturi ambazo Israeli walikuwa wamezianzisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata na watu wa Yuda hawakuyashika maagizo ya BWANA, Mungu wao, lakini walikwenda katika amri za Israeli walizokuwa wamezifanya wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini hata watu wa Yuda hawakutii amri za Mwenyezi-Mungu, Mungu wao; bali walifuata desturi zilizoletwa na watu wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Wayuda nao hawakuyaangalia maagizo ya Bwana, nao wakaendelea kuyafuata maongozi, Waisiraeli waliyoyatoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata na watu wa Yuda hawakuyashika maagizo ya BWANA, Mungu wao, lakini walikwenda katika amri za Israeli walizokuwa wamezifanya wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hata watu wa Yuda hawakutii amri za Yawe, Mungu wao; lakini walifuata desturi zilizoletwa na watu wa Israeli.