2 Kings 17:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomtangulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, lakini si kama wafalme wengine wa Israeli waliomtangulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa Bwana, ila si kama wafalme wa Israeli waliomtangulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomtangulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya maovu machoni pa BWANA, lakini si kama wafalme wengine wa Israeli waliomtangulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya maovu machoni pa bwana, lakini si kama wafalme wengine wa Israeli waliomtangulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, ila si kama wafalme wa Israeli waliomtangulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomtangulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, lakini hakuzidi kama wafalme waliokuwa mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo maovu machoni pa BWANA, ila si kama wafalme wa Israeli waliomtangulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda maovu mbele ya Yawe ingawa siyo kama wafalme wa Israeli waliomutangulia.