2 Kings 17:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walitenda dhambi alizotenda Yeroboamu; hawakuweza kuziacha,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao Israeli wakadumu katika dhambi zote za Yeroboamu mwana wa Nebati, nao hawakuziacha
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wana wa Israeli wakaendelea katika dhambi zote za Yeroboamu alizozifanya; hawakujiepusha nazo;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walitenda dhambi alizotenda Yeroboamu; hawakuweza kuziacha,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao Israeli wakadumu katika dhambi zote za Yeroboamu mwana wa Nebati, hawakuziacha
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao Israeli wakadumu katika dhambi zote za Yeroboamu mwana wa Nebati, nao hawakuziacha
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wana wa Israeli wakaendelea katika dhambi zote za Yeroboamu alizozifanya; hawakujiepusha nazo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walitenda dhambi alizotenda Yeroboamu; hawakuweza kuziacha,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli wakaendelea kuyafanya makosa yote, Yeroboamu aliyoyafanya, hawakuyaepuka,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wana wa Israeli wakaendelea katika dhambi zote za Yeroboamu alizozifanya; hawakujiepusha nazo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walitenda zambi zote Yeroboamu alizotenda. Hawakuziacha