2 Kings 17:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi ilitokea kwamba walipoanza kukaa humo, hawakumwabudu Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo Mwenyezi-Mungu akatuma simba miongoni mwao, nao wakawaua baadhi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati walianza kuishi humo, hawakumwabudu Mwenyezi Mungu, kwa hiyo akatuma simba miongoni mwao, wakawaua baadhi ya watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa, wakati ule walipoanza kukaa huko, hawakumcha Bwana; kwa hiyo Bwana akapeleka simba kati yao, nao wakawaua baadhi yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi ilitokea kwamba walipoanza kukaa humo, hawakumwabudu Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo Mwenyezi-Mungu akatuma simba miongoni mwao, nao wakawaua baadhi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati walipoanza kuishi humo, hawakumwabudu BWANA, kwa hiyo akatuma simba miongoni mwao, wakawaua baadhi ya watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati walianza kuishi humo, hawakumwabudu bwana, kwa hiyo akatuma simba miongoni mwao, wakawaua baadhi ya watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa, wakati ule walipoanza kukaa huko, hawakumcha BWANA; kwa hiyo BWANA akapeleka simba kati yao, nao wakawaua baadhi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi ilitokea kwamba walipoanza kukaa humo, hawakumwabudu Mwenyezi-Mungu, kwa hiyo Mwenyezi-Mungu akatuma simba miongoni mwao, nao wakawaua baadhi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, walipoanza kukaa huko, hawakumcha Bwana, naye Bwana akatuma simba kwao, wakaua watu wengine wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa, wakati ule walipoanza kukaa huko, hawakumcha BWANA; kwa hiyo BWANA akapeleka simba kati yao, nao wakawaua baadhi yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi ikatokea kwamba walipoanza kukaa mule, hawakumwabudu Yawe, kwa hiyo Yawe akatuma simba kati yao, nao wakawaua wamoja kati yao.