2 Kings 17:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Babuloni walitengeneza vinyago vya Sukoth-benothi; Wakuthi vinyago vya Nergali; Wahamathi vinyago vya Ashima;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu kutoka Babeli wakatengeneza Sukoth-Benothi kuwa mungu wao, watu kutoka Kutha wakatengeneza Nergali, na watu kutoka Hamathi wakatengeneza Ashima;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa Babeli wakafanya Sukoth-benothi kuwa mungu wao, watu wa Kutha wakafanya Nergali, watu wa Hamathi wakafanya Ashima,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Babuloni walitengeneza vinyago vya Sukoth-benothi; Wakuthi vinyago vya Nergali; Wahamathi vinyago vya Ashima;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu kutoka Babeli wakamtengeneza Sukoth-Benothi kuwa mungu wao, watu kutoka Kutha wakamtengeneza Nergali na watu kutoka Hamathi wakamtengeneza Ashima;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu kutoka Babeli wakamtengeneza Sukoth-Benothi kuwa mungu wao, watu kutoka Kutha wakamtengeneza Nergali, na watu kutoka Hamathi wakamtengeneza Ashima;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa Babeli wakafanya Sukoth-benothi kuwa mungu wao, watu wa Kutha wakafanya Nergali, watu wa Hamathi wakafanya Ashima,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Babuloni walitengeneza vinyago vya Sukoth-benothi; Wakuthi vinyago vya Nergali; Wahamathi vinyago vya Ashima;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wa Babeli wakatengeneza vinyago vya Sukoti-Benoti, watu wa Kuta wakatengeneza vinyago vya Nergali, watu wa Hamati wakatengeneza vinyago vya Asima,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa Babeli wakafanya Sukoth-benothi kuwa mungu wao, watu wa Kutha wakafanya Nergali, watu wa Hamathi wakafanya Ashima,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Babeli walitengeneza sanamu za Sukoti-Benoti, watu wa Kuta wakatengeneza sanamu za Nergali, watu wa Hamati sanamu za Asima,