2 Kings 17:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waiva vinyago vya Nibhazi na Tartaki; na Wasefarvaimu walitoa watoto wao kuwa sadaka za kuteketezwa kwa miungu yao Adrameleki na Anameleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waavi wakatengeneza Nibhazi na Tartaki, nao Wasefarvi wakachoma watoto wao kama kafara kwa Adrameleki na Anameleki, miungu ya Sefarvaimu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waavi wakafanya Nibhazi na Tartaki; nao Wasefarvi wakawaunguza wana wao katika moto kwa Adrameleki na Anameleki, miungu ya Sefarvaimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waiva vinyago vya Nibhazi na Tartaki; na Wasefarvaimu walitoa watoto wao kuwa sadaka za kuteketezwa kwa miungu yao Adrameleki na Anameleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waavi wakamtengeneza Nibhazi na Tartaki, Wasefarvi wakachoma watoto wao kama kafara kwa Adrameleki na Anameleki miungu ya Sefarvaimu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waavi wakatengeneza Nibhazi na Tartaki, nao Wasefarvi wakachoma watoto wao kama kafara kwa Adrameleki na Anameleki, miungu ya Sefarvaimu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waavi wakafanya Nibhazi na Tartaki; nao Wasefarvi wakawaunguza wana wao katika moto kwa Adrameleki na Anameleki, miungu ya Sefarvaimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waiva vinyago vya Nibhazi na Tartaki; na Wasefarvaimu walitoa watoto wao kuwa sadaka za kuteketezwa kwa miungu yao Adrameleki na Anameleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
watu wa Awa wakatengeneza vinyago vya Nibuhazi na vya Tarkati, nao wa Sefarwaimu wakawateketeza wana wao motoni, wawe ng'ombe za tambiko za Adarameleki na za Anameleki, ndiyo miungu yao wa Sefarwaimu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waavi wakafanya Nibhazi na Tartaki; nao Wasefarvi wakawaunguza wana wao katika moto kwa Adrameleki na Anameleki, miungu ya Sefarvaimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watu wa Awa sanamu za Nibunasi na za Tartaki, na Wasefarwaimu walitoa watoto wao kuwa sadaka za kuteketezwa kwa miungu yao Adarameleki na Anameleki.