2 Kings 17:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu hawa vilevile walimwabudu Mwenyezi-Mungu. Waliteua kutoka kati yao watu wa kila aina na kuwafanya makuhani kutumika katika mahali pa juu na kutoa sadaka huko kwa niaba yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walimwabudu Mwenyezi Mungu, lakini pia waliteua aina zote za watu wao ili kuwawakilisha kama makuhani katika mahali pa ibada kwenye mahali pa juu pa kuabudia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi hivyo wakamcha Bwana, nao wakijifanyia wengine wao kuwa makuhani wa mahali pa juu, ambao waliwafanyia dhabihu katika nyumba za mahali pa juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu hawa vilevile walimwabudu Mwenyezi-Mungu. Waliteua kutoka kati yao watu wa kila aina na kuwafanya makuhani kutumika katika mahali pa juu na kutoa sadaka huko kwa niaba yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walimwabudu BWANA, lakini pia waliteua aina zote za watu wao ili kuwawakilisha kama makuhani katika mahali pa kuabudia miungu kwenye mahali pa juu pa ibada za miungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walimwabudu bwana, lakini pia waliteua aina zote za watu wao ili kuwawakilisha kama makuhani katika mahali pa kuabudia miungu kwenye mahali pa juu pa ibada.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi hivyo wakamcha BWANA, nao wakijifanyia wengine wao kuwa makuhani wa mahali pa juu, ambao waliwafanyia dhabihu katika nyumba za mahali pa juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu hawa vilevile walimwabudu Mwenyezi-Mungu. Waliteua kutoka kati yao watu wa kila aina na kuwafanya makuhani kutumika katika mahali pa juu na kutoa sadaka huko kwa niaba yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, hivyo walikuwa wakimcha Bwana, lakini wakajipatia miongoni mwao watambikaji wa vilimani, ndio waliowafanyia kazi za kutambika katika nyumba za vilimani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi hivyo wakamcha BWANA, nao wakijifanyia wengine wao kuwa makuhani wa mahali pa juu, ambao waliwafanyia dhabihu katika nyumba za mahali pa juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hawa vilevile walimwabudu Yawe. Walichagua kutoka kati yao watu wa kila aina na kuwafanya makuhani kutumika katika nafasi zenye kuinuka juu na kutoa sadaka kule kwa ajili yao.