2 Kings 17:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi walimwabudu Mwenyezi-Mungu, lakini wakati huohuo waliwaabudu pia miungu yao waliyoichukua kutoka nchi zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walimwabudu Mwenyezi Mungu, lakini pia waliitumikia miungu yao kulingana na desturi za mataifa walikotoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamcha Bwana, na kuitumikia miungu yao wenyewe, sawasawa na kawaida za mataifa ambao wao walihamishwa kutoka kwao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi walimwabudu Mwenyezi-Mungu, lakini wakati huohuo waliwaabudu pia miungu yao waliyoichukua kutoka nchi zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walimwabudu BWANA, lakini pia waliitumikia miungu yao kulingana na desturi za mataifa walikotoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walimwabudu bwana, lakini pia waliitumikia miungu yao kulingana na desturi za mataifa walikotoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamcha BWANA, na kuitumikia miungu yao wenyewe, sawasawa na kawaida za mataifa ambao wao walihamishwa kutoka kwao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi walimwabudu Mwenyezi-Mungu, lakini wakati huohuo waliwaabudu pia miungu yao waliyoichukua kutoka nchi zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo walikuwa wenye kumcha Bwana pamoja na kuitumikia miungu ya kwao, kama ilivyowapasa wamizimu wa kwao, walikotolewa na kuhamishwa kuja huku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamcha BWANA, na kuitumikia miungu yao wenyewe, sawasawa na kawaida za mataifa ambao wao walihamishwa kutoka kwao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi wakamwabudu Yawe, lakini wakati uleule wakiwaabudu vilevile miungu yao waliyoleta kutoka inchi zao.