2 Kings 17:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata sasa wanatenda kama walivyofanya hapo awali. Hawamwabudu Mwenyezi-Mungu, na wala hawafuati masharti, maagizo, sheria au amri ambazo yeye Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wana wa Yakobo; ambaye alimpa jina Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadi leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu Mwenyezi Mungu wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo Mwenyezi Mungu aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata siku hii ya leo hufanya sawasawa na kawaida za kwanza; wala hawamwogopi Bwana, wala hawazifuati sheria zao, wala hukumu zao, wala ile torati, wala ile amri Bwana aliyowaamuru wana wa Yakobo, ambaye alimpa jina la Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata sasa wanatenda kama walivyofanya hapo awali. Hawamwabudu Mwenyezi-Mungu, na wala hawafuati masharti, maagizo, sheria au amri ambazo yeye Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wana wa Yakobo; ambaye alimpa jina Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpaka leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu BWANA wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo BWANA aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka leo wanashikilia desturi zao za zamani. Hawamwabudu bwana wala kuzishika hukumu na maagizo, sheria na amri ambazo bwana aliwapa uzao wa Yakobo, ambaye alimwita Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata siku hii ya leo hufanya sawasawa na kawaida za kwanza; wala hawamwogopi BWANA, wala hawazifuati sheria zao, wala hukumu zao, wala ile torati, wala ile amri BWANA aliyowaamuru wana wa Yakobo, ambaye alimpa jina la Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata sasa wanatenda kama walivyofanya hapo awali. Hawamwabudu Mwenyezi-Mungu, na wala hawafuati masharti, maagizo, sheria au amri ambazo yeye Mwenyezi-Mungu aliwaamuru wana wa Yakobo; ambaye alimpa jina Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata siku hii ya leo hufanya, kama hizo desturi zao za kwanza zilivyokuwa: hawamchi Bwana kwa kweli, wala hawafanyi kwa kweli, maongozi yao na desturi zao zilivyo, wala hawaishiki njia ya Maonyo na ya maagizo, Bwana aliyowaagiza wana wa Yakobo, aliyempa jina la Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata siku hii ya leo hufanya sawasawa na kawaida za kwanza; wala hawamwogopi BWANA, wala hawazifuati sheria zao, wala hukumu zao, wala ile torati, wala ile amri BWANA aliyowaamuru wana wa Yakobo, ambaye alimpa jina la Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata sasa wanatenda kama vile walivyofanya zamani. Hawamwabudu Yawe, wala hawafuati masharti, maagizo, sheria au amri ambazo yeye Yawe aliwaamuru wana wa Yakobo; ambaye alimupa jina la Israeli.