2 Kings 17:36 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtaniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, ambaye niliwatoa huko Misri kwa uwezo na nguvu nyingi. Mtanisujudia mimi na kunitolea sadaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali imewapasa kumwabudu Mwenyezi Mungu aliyewapandisha kutoka Misri kwa uwezo wake mkuu na kwa mkono wake ulionyooshwa. Kwake yeye mtasujudu, na kwake yeye mtatoa dhabihu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila yeye Bwana, aliyewaleta kutoka nchi ya Misri kwa nguvu nyingi, na kwa mkono ulionyoshwa, yeye ndiye mtakayemcha, yeye ndiye mtakayemsujudia, yeye ndiye mtakayemtolea sadaka;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtaniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, ambaye niliwatoa huko Misri kwa uwezo na nguvu nyingi. Mtanisujudia mimi na kunitolea sadaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali imewapasa kumwabudu BWANA aliyewapandisha kutoka Misri kwa uwezo wake mkuu na kwa mkono wake ulionyooshwa. Kwake yeye mtasujudu na kwake yeye mtatoa dhabihu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali imewapasa kumwabudu bwana aliyewapandisha kutoka Misri kwa uwezo wake mkuu na kwa mkono wake ulionyooshwa. Kwake yeye mtasujudu na kwake yeye mtatoa dhabihu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila yeye BWANA, aliyewaleta kutoka nchi ya Misri kwa nguvu nyingi, na kwa mkono ulionyoshwa, yeye ndiye mtakayemcha, yeye ndiye mtakayemsujudia, yeye ndiye mtakayemtolea sadaka;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtaniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, ambaye niliwatoa huko Misri kwa uwezo na nguvu nyingi. Mtanisujudia mimi na kunitolea sadaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila Bwana aliyewatoa katika nchi ya Misri kwa nguvu kuu za mkono wake, alioukunjua, yeye sharti mmche, mmwangukie na kumtambikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila yeye BWANA, aliyewaleta kutoka nchi ya Misri kwa nguvu nyingi, na kwa mkono ulionyoshwa, yeye ndiye mtakayemcha, yeye ndiye mtakayemsujudia, yeye ndiye mtakayemtolea sadaka;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutaniabudu mimi Yawe, ambaye niliwatoa kule Misri kwa uwezo na nguvu nyingi. Mutainama mbele yangu mimi na kunitolea sadaka.