2 Kings 17:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtaniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali, mtamwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, kwani yeye ndiye atakayewakomboa kutoka mikononi mwa adui zenu wote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini Bwana, Mungu wenu, ndiye mtakayemcha; naye atawaokoa mikononi mwa adui zenu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtaniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali, mtamwabudu BWANA Mungu wenu, kwani yeye ndiye atakayewakomboa kutoka mikononi mwa adui zenu wote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali, mtamwabudu bwana Mwenyezi Mungu wenu, kwani yeye ndiye atakayewakomboa kutoka mikononi mwa adui zenu wote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini BWANA, Mungu wenu, ndiye mtakayemcha; naye atawaokoa mikononi mwa adui zenu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtaniabudu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, nami nitawaokoa kutoka mikononi mwa adui zenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila Bwana Mungu wenu sharti mmche! Naye atawaponya mikononi mwa adui zenu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini BWANA, Mungu wenu, ndiye mtakayemcha; naye atawaokoa mikononi mwa adui zenu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutaniabudu mimi Yawe, Mungu wenu, nami nitawaokoa kutoka katika mikono ya waadui zenu.”