2 Kings 17:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watu hao hawakusikiliza, bali waliendelea kutenda kama walivyofanya hapo awali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo hawakusikiliza, lakini waliendelea na desturi zao za awali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini hawakusikia, bali wakafanya sawasawa na kawaida zao za kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watu hao hawakusikiliza, bali waliendelea kutenda kama walivyofanya hapo awali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo hawakusikiliza, lakini waliendelea na desturi zao za awali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo hawakusikiliza, lakini waliendelea na desturi zao za awali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini hawakusikia, bali wakafanya sawasawa na kawaida zao za kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watu hao hawakusikiliza, bali waliendelea kutenda kama walivyofanya hapo awali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini hawakusikia, ila wao wakafanya, kama hizo desturi zao za kwanza zilivyokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini hawakusikia, bali wakafanya sawasawa na kawaida zao za kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu hao hawakusikiliza, wao waliendelea kutenda kama vile walivyofanya zamani.