2 Kings 17:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na kufuata njia za mataifa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafukuza mbele ya Waisraeli, na kufanya matendo ya wafalme wa Israeli waliyoyaingiza nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kufuata desturi za mataifa ambayo Mwenyezi Mungu alikuwa ameyafukuza mbele yao, pamoja na desturi ambazo wafalme wa Israeli walizileta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaziendea sheria za mataifa, ambao Bwana aliwafukuza mbele ya wana wa Israeli, na sheria za wafalme wa Israeli walizozifanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na kufuata njia za mataifa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafukuza mbele ya Waisraeli, na kufanya matendo ya wafalme wa Israeli waliyoyaingiza nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kufuata desturi za mataifa ambayo BWANA alikuwa ameyafukuza mbele yao, pamoja na desturi ambazo wafalme wa Israeli walizileta.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kufuata desturi za mataifa ambayo bwana alikuwa ameyafukuza mbele yao, pamoja na desturi ambazo wafalme wa Israeli walizileta.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaziendea sheria za mataifa, ambao BWANA aliwafukuza mbele ya wana wa Israeli, na sheria za wafalme wa Israeli walizozifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na kufuata njia za mataifa ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafukuza mbele ya Waisraeli, na kufanya matendo ya wafalme wa Israeli waliyoyaingiza nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakaendelea na kuyafuata maongozi ya wamizimu, Bwana aliowafukuza mbele ya wana wa Isiraeli, nayo maongozi, wafalme wa Waisiraeli waliyoyatoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaziendea sheria za mataifa, ambao BWANA aliwafukuza mbele ya wana wa Israeli, na sheria za wafalme wa Israeli walizozifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kufuata njia za mataifa ambayo Yawe aliyafukuza wakati watu wake walipokuwa wanaingia, na kufanya matendo ya wafalme wa Israeli waliyoyaingiza katika inchi.