2 Kings 18:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa sababu Waisraeli hawakutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, bali walivunja agano lake, hata hawakusikia wala kutii yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili lilitokea kwa sababu hawakumtii Mwenyezi Mungu, Mungu wao, lakini walikuwa wamevunja agano lake, yale yote ambayo Musa mtumishi wa Mwenyezi Mungu aliwaamuru. Hawakuzisikiliza amri wala kuzitimiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu hawakuitii sauti ya Bwana, Mungu wao, bali waliyahalifu maagano yake, mambo yote ambayo Musa mtumishi wa Bwana aliwaamuru, wasikubali kuyasikiliza, wala kuyatenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa sababu Waisraeli hawakutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, bali walivunja agano lake, hata hawakusikia wala kutii yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili lilitokea kwa sababu walikuwa hawakumtii BWANA Mungu wao, lakini walikuwa wamevunja Agano lake, yale yote ambayo Mose mtumishi wa BWANA aliwaamuru. Hawakuzisikiliza amri wala kuzitimiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili lilitokea kwa sababu hawakumtii bwana Mwenyezi Mungu wao, lakini walikuwa wamevunja agano lake, yale yote ambayo Musa mtumishi wa bwana aliwaamuru. Hawakuzisikiliza amri wala kuzitimiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu hawakuitii sauti ya BWANA, Mungu wao, bali waliyavunja maagano yake, mambo yote ambayo Musa mtumishi wa BWANA aliwaamuru, wasikubali kuyasikiliza, wala kuyatenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa sababu Waisraeli hawakutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, bali walivunja agano lake, hata hawakusikia wala kutii yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa kuwa hawakuisikia sauti ya Bwana Mungu wao wakalivunja Agano lake, maana yote, Mose, mtumishi wa Bwana, aliyowaagiza, hawakuyasikia, wala hawakuyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu hawakuitii sauti ya BWANA, Mungu wao, bali waliyahalifu maagano yake, mambo yote ambayo Musa mtumishi wa BWANA aliwaamuru, wasikubali kuyasikiliza, wala kuyatenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa sababu Waisraeli hawakutii sauti ya Yawe, Mungu wao, lakini walivunja agano lake, hata hawakusikia wala kutii yote Musa, mutumishi wa Yawe, aliyowaamuru.