2 Kings 18:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hezekia akampelekea fedha yote iliyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika hazina za nyumba ya mfalme;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Hezekia akampa fedha yote iliyopatikana ndani ya Hekalu la Mwenyezi Mungu na katika hazina ya jumba la mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hezekia akampa fedha yote iliyoonekana katika nyumba ya Bwana, na katika hazina za nyumba ya mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hezekia akampelekea fedha yote iliyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika hazina za nyumba ya mfalme;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Hezekia akampa fedha yote iliyopatikana ndani ya Hekalu la BWANA na katika hazina ya jumba la kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Hezekia akampa fedha yote iliyopatikana ndani ya Hekalu la bwana na katika hazina ya jumba la mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hezekia akampa fedha yote iliyoonekana katika nyumba ya BWANA, na katika hazina za nyumba ya mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hezekia akampelekea fedha yote iliyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu na katika hazina za nyumba ya mfalme;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hizikia akampa fedha zote zilizopatikana Nyumbani mwa Bwana namo katika vilimbiko vya nyumbani mwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hezekia akampa fedha yote iliyoonekana katika nyumba ya BWANA, na katika hazina za nyumba ya mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hezekia akamupelekea feza yote iliyokuwa katika nyumba ya Yawe na katika hazina za nyumba ya mufalme.