2 Kings 18:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kadhalika, alingoa dhahabu kutoka katika milango ya hekalu la Mwenyezi-Mungu na ile dhahabu ambayo yeye mwenyewe aliiweka kwenye mihimili ya mlango; yote akampelekea Senakeribu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huu Hezekia mfalme wa Yuda akabandua dhahabu yote iliyokuwa imefunika milango na miimo ya Hekalu la Mwenyezi Mungu, akampa mfalme wa Ashuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati huo Hezekia aliiondoa dhahabu iliyokuwa juu ya milango ya hekalu la Bwana, na juu ya nguzo, ambazo Hezekia, mfalme wa Yuda, alikuwa amezitia dhahabu, akampa mfalme wa Ashuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kadhalika, aling'oa dhahabu kutoka katika milango ya hekalu la Mwenyezi-Mungu na ile dhahabu ambayo yeye mwenyewe aliiweka kwenye mihimili ya mlango; yote akampelekea Senakeribu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huu Hezekia mfalme wa Yuda akabandua dhahabu yote iliyokuwa imefunika milango na miimo ya Hekalu la BWANA, akampa mfalme wa Ashuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huu Hezekia mfalme wa Yuda akabandua dhahabu yote iliyokuwa imefunika milango na miimo ya Hekalu la bwana, akampa mfalme wa Ashuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati huo Hezekia aliiondoa dhahabu iliyokuwa juu ya milango ya hekalu la BWANA, na juu ya nguzo, ambazo Hezekia, mfalme wa Yuda, alikuwa amezitia dhahabu, akampa mfalme wa Ashuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kadhalika, alingoa dhahabu kutoka katika milango ya hekalu la Mwenyezi-Mungu na ile dhahabu ambayo yeye mwenyewe aliiweka kwenye mihimili ya mlango; yote akampelekea Senakeribu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakati huo Hizikia akayaondoa mabati ya dhahabu penye milango ya Jumba la Bwana, hata penye zile nguzo, alizozifunika kwa mabati ya dhahabu yeye Hizikia, mfalme wa Wayuda, akampa mfalme wa Asuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati huo Hezekia aliiondoa dhahabu iliyokuwa juu ya milango ya hekalu la BWANA, na juu ya nguzo, ambazo Hezekia, mfalme wa Yuda, alikuwa amezitia dhahabu, akampa mfalme wa Ashuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, akaondoa zahabu kutoka katika milango ya hekalu la Yawe na ile zahabu ambayo yeye mwenyewe aliiweka kwenye miimo ya mulango. Yote akamupelekea Saniharibu.