2 Kings 18:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo jemadari mkuu alipowaambia, “Mwambieni Hezekia, hivi ndivyo anavyosema mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru: Ni ujasiri wa namna gani huu unaouwekea matumaini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule jemadari wa jeshi akawaambia, “Mwambieni Hezekia: “ ‘Hili ndilo asemalo mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru: Ni wapi unapoweka hili tumaini lako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule amiri
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo jemadari mkuu alipowaambia, “Mwambieni Hezekia, hivi ndivyo anavyosema mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru: ni ujasiri wa namna gani huu unaouwekea matumaini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule jemadari wa jeshi akawaambia, “Mwambieni Hezekia: “ ‘Hivi ndivyo mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru asemavyo: Ni wapi unapoweka hilo tumaini lako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule jemadari wa jeshi akawaambia, “Mwambieni Hezekia: “ ‘Hili ndilo asemalo mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru: Ni wapi unapoweka hili tumaini lako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule amiri akawaambia, Haya, mwambieni Hezekia, kusema, Mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru, asema hivi, Ni tumaini gani hili unalolitumainia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo jemadari mkuu alipowaambia, “Mwambieni Hezekia, hivi ndivyo anavyosema mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru: Ni ujasiri wa namna gani huu unaouwekea matumaini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkuu wa askari akawaambia: Mwambieni Hizikia: Hivi ndivyo, anavyosema mfalme mkuu, mfalme wa Asuri: Hilo egemeo, unaloliegemea, ndio nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule amiri akawaambia, Haya, mwambieni Hezekia, kusema, Mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru, asema hivi, Ni tumaini gani hili unalolitumainia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumoja wa wale majemadari wakubwa akawaambia: “Mumwambie Hezekia kwamba mufalme mukubwa wa Asuria anamwuliza: Unategemea nini kwa kukazana kwako?