2 Kings 18:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala. Alitawala miaka ishirini na tisa huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Abi, binti wa Zekaria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na tano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka ishirini na kenda katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Abiya, binti Zekaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala. Alitawala miaka ishirini na tisa huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Abi, binti wa Zekaria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala katika Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Jina la mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka ishirini na tisa. Mama yake aliitwa Abiya binti Zekaria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka ishirini na tisa katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Abiya, binti Zekaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala. Alitawala miaka ishirini na tisa huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Abi, binti wa Zekaria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikuwa mwenye miaka 25 alipoupata ufalme, akawa mfalme mle Yerusalemu miake 29; jina la mama yake ni Abi, binti Zakaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala; akatawala miaka ishirini na kenda katika Yerusalemu; na jina la mama yake aliitwa Abiya, binti Zekaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alikuwa na umri wa miaka makumi mbili na mitano alipoanza kutawala. Akatawala miaka makumi mbili na tisa akiwa kule Yerusalema. Mama yake aliitwa Abi binti ya Zakaria.