2 Kings 18:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwawezaje kumrudisha nyuma ofisa mmoja kati ya watumishi wa bwana wangu walio na cheo cha chini kabisa, wakati mnategemea Misri iwaletee magari na wapandafarasi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utawezaje kumzuia hata afisa mmoja aliye mdogo kati ya maafisa wa bwana wangu, ijapo unategemea Misri kwa magari ya vita na wapanda farasi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wawezaje, basi, kurudisha nyuma uso wa akida mmoja wa watumishi walio wadogo wa bwana wangu, na kuitumainia Misri upewe magari na farasi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwawezaje kumrudisha nyuma ofisa mmoja kati ya watumishi wa bwana wangu walio na cheo cha chini kabisa, wakati mnategemea Misri iwaletee magari na wapandafarasi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe na hilo jeshi lako dogo utawezaje kumzuia hata afisa mmoja wa kundi dogo na dhaifu la jeshi la bwana wangu, ijapo unaitegemea Misri kwa magari ya vita na wapanda farasi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utawezaje kumzuia hata afisa mmoja aliye mdogo kati ya maafisa wa bwana wangu, ijapo unategemea Misri kwa magari ya vita na wapanda farasi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wawezaje, basi, kurudisha nyuma uso wa ofisa mmoja wa watumishi walio wadogo wa bwana wangu, na kuitumainia Misri upewe magari na farasi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwawezaje kumrudisha nyuma ofisa mmoja kati ya watumishi wa bwana wangu walio na cheo cha chini kabisa, wakati mnategemea Misri iwaletee magari na wapandafarasi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usipowapata utawezaje kuuelekeza nyuma uso wa mwenye amri mmoja tu, ijapo awe mdogo katika watumishi wa bwana wangu? Tena unawaegemea Wamisri, kwa kuwa wako na magari na wapanda farasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wawezaje, basi, kurudisha nyuma uso wa akida mmoja wa watumishi walio wadogo wa bwana wangu, na kuitumainia Misri upewe magari na farasi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata kama munategemea Misri kupata magari ya vita na waaskari wapanda-farasi, hamuwezi kumurudisha nyuma mutu mumoja wa cheo cha chini sana kati ya watumishi wa bwana wangu.