2 Kings 18:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivi ndivyo anavyosema mfalme: Msikubali Hezekia awadanganye, kwa sababu hataweza kuwaokoa mikononi mwa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ndilo asemalo mfalme: Msikubali Hezekia awadanganye. Hawezi kuwaokoa mkononi mwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfalme asema hivi, Hezekia asiwadanganye; kwa maana, hataweza kuwaokoa katika mkono wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivi ndivyo anavyosema mfalme: msikubali Hezekia awadanganye, kwa sababu hataweza kuwaokoa mikononi mwa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivi ndivyo asemavyo mfalme: Msikubali Hezekia awadanganye. Hawezi kuwaokoa mkononi mwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ndilo asemalo mfalme: Msikubali Hezekia awadanganye. Hawezi kuwaokoa mkononi mwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfalme asema hivi, Hezekia asiwadanganye; kwa maana, hataweza kuwaokoa katika mkono wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivi ndivyo anavyosema mfalme: Msikubali Hezekia awadanganye, kwa sababu hataweza kuwaokoa mikononi mwa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, mfalme anavyosema: Hizikia asiwadanganye! Kwani hataweza kuwaponya ninyi mkononi mwangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfalme asema hivi, Hezekia asiwadanganye; kwa maana, hataweza kuwaokoa katika mkono wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivi ndivyo mufalme anavyosema: Musikubali Hezekia awadanganye, kwa sababu hataweza kuwaokoa toka katika mikono yangu.