2 Kings 18:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Daudi babu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, kama Daudi baba yake alivyofanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mema machoni pa Bwana, mfano wa yote aliyoyafanya Daudi, baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Daudi babu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, kama Daudi baba yake alivyofanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya yaliyo mema machoni pa bwana, kama Daudi baba yake alivyofanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya Daudi, baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitenda mema mbele ya Mwenyezi-Mungu, kama alivyofanya Daudi babu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana kama yote, baba yake Dawidi aliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mema machoni pa BWANA, mfano wa yote aliyoyafanya Daudi, baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitenda kwa usawa mbele ya Yawe, kama vile Daudi babu yake alivyotenda.