2 Kings 18:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, kuna yeyote kati ya miungu ya mataifa aliyeokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, yuko mungu wa taifa lolote aliyewahi kuokoa nchi yake kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Yuko mungu mmoja wa mataifa aliyewaokoa watu wake wakati wo wote na mkono wa mfalme wa Ashuru?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, kuna yeyote kati ya miungu ya mataifa aliyeokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, yuko mungu wa taifa lo lote aliyeiokoa nchi yake kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, yuko mungu wa taifa lolote aliyewahi kuokoa nchi yake kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Yuko mungu mmoja wa mataifa aliyewaokoa watu wake wakati wowote na mkono wa mfalme wa Ashuru?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, kuna yeyote kati ya miungu ya mataifa aliyeokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Miungu ya wamizimu iliweza mmoja tu kuiponya nchi yake, isichukuliwe na mfalme wa Asuri?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Yuko mungu mmoja wa mataifa aliyewaokoa watu wake wakati wo wote na mkono wa mfalme wa Ashuru?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna yoyote kati ya miungu ya mataifa aliyeokoa inchi yake toka katika mikono ya mufalme wa Asuria?