2 Kings 18:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, iko wapi miungu ya Hamathi na Arpadi. Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena na Iva? Je, imeokoa Samaria mikononi mwangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iko wapi miungu ya Hamathi na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena na Iva? Je, imeokoa Samaria kutoka mkononi mwangu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Iko wapi miungu ya Hamathi, na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, na ya Hena, na ya Iva? Je! Imeuokoa Samaria na mkono wangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, iko wapi miungu ya Hamathi na Arpadi. Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena na Iva? Je, imeokoa Samaria mikononi mwangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iko wapi miungu ya Hamathi na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena na Iva? Je, imeweza kuiokoa Samaria kutoka mkononi mwangu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iko wapi miungu ya Hamathi na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena na Iva? Je, imeokoa Samaria kutoka mkononi mwangu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Iko wapi miungu ya Hamathi, na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, na ya Hena, na ya Iva? Je! Imeuokoa Samaria na mkono wangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, iko wapi miungu ya Hamathi na Arpadi. Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, Hena na Iva? Je, imeokoa Samaria mikononi mwangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ilikuwa wapi miungu ya Hamati na ya Arpadi? Ilikuwa wapi miungu ya Sefarwaimu, nayo yao Hena na Iwa? Hata Samaria haikuweza kuiponya, nisiichukue.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Iko wapi miungu ya Hamathi, na ya Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu, na ya Hena, na ya Iva? Je! Imeuokoa Samaria na mkono wangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Iko wapi ile miungu ya Hamati na Arpadi? Iko wapi ile miungu ya Sefarwaimu, Hena na Iwa? Imeokoa Samaria toka katika mikono yangu?