2 Kings 18:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni nani miongoni mwa miungu ya nchi hizi aliyeokoa nchi zao mikononi mwangu hata Mwenyezi-Mungu aweze kuukoa mji wa Yerusalemu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni yupi miongoni mwa miungu yote ya nchi hizi ameweza kuokoa nchi yake mkononi mwangu? Inawezekanaje basi Mwenyezi Mungu aiokoe Yerusalemu mkononi mwangu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika miungu ya nchi hizi zote, ni miungu gani iliyookoa nchi yao na mkono wangu, hata Bwana auokoe Yerusalemu na mkono wangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni nani miongoni mwa miungu ya nchi hizi aliyeokoa nchi zao mikononi mwangu hata Mwenyezi-Mungu aweze kuukoa mji wa Yerusalemu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ni nani kati ya miungu yote ya nchi hizi ameweza kuokoa nchi yake kutoka kwangu? Itawezekanaje basi, BWANA aiokoe Yerusalemu mkononi mwangu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni yupi miongoni mwa miungu yote ya nchi hizi ameweza kuokoa nchi yake mkononi mwangu? Inawezekanaje basi bwana aiokoe Yerusalemu mkononi mwangu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika miungu ya nchi hizi zote, ni miungu gani iliyookoa nchi yao na mkono wangu, hata BWANA auokoe Yerusalemu na mkono wangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni nani miongoni mwa miungu ya nchi hizi aliyeokoa nchi zao mikononi mwangu hata Mwenyezi-Mungu aweze kuukoa mji wa Yerusalemu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika miungu yote ya nchi hizi ni ipi iliyoweza kuziponya nchi zao, nisizichukue? Basi, Bwana atawezaje kuuponya Yerusalemu,. nisiuchukue?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika miungu ya nchi hizi zote, ni miungu gani iliyookoa nchi yao na mkono wangu, hata BWANA auokoe Yerusalemu na mkono wangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni nani kati ya miungu ya inchi hizi aliyeokoa inchi zao toka katika mikono yangu. Yawe ataweza kuukoa Yerusalema?’ ”